ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 12, 2014

PICHA ZA MAZISHI YA MPENDWA WETU CAROLINE MBILINYI

Ndugu, jamaa na marafiki wakikusanyika nyumbani Ukonga kabla ya kwenye kwenye ibada ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la KKT lililopo Ukonga na baadae mazishi yalifanyika siku ya Jumampili March 9, 2014 katika makaburi ya Kinondoni.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika pamoja nyumbani na wafiwa nyumbani Ukonga.
Ndugu jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa wafiwa wakipata chakula kidogo.
Safari ya kuelekea Kanisani
kwa picha zaidi bofya soma zaidi



5 comments:

Anonymous said...

Jina la Bwana libalikwe,tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha aliyokupatia hapa duniani mpaka
umefika wakati umerudi tena kwa Baba.Amen

Anonymous said...

Huko DC kuna nn? ? Mbona kila siku wabongo wafa? Lol..acheni uchawiii nendeni shuleni mkatafute MASTERS..hata aibu hamuoniii, lahaulaaaa...

Anonymous said...

Tutakukumbuka daima carol,umekuwa mwalimu wetu hapa USA umetufundisha mengi,hatuwezi kukusahau RIP carol.

Anonymous said...

We wa pili acha kupandisha mizimu, kichaa nini!! Hata nashindwa ku-conclude uchafu ulioundika! inaelekea wewe ndio mchawi unawachukua watu wa D.C. msukule. Ndio masters yako ulichukua ya uchawi nini hebu tuambie!

Anonymous said...

RIP Caroline so sad I couldn't get the chance to meet you.