Baby shower ya Diana iliyofanyika Jumamosi March 15, 2014 College Park, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki. Katika picha ni Diana na mdhamini wa pendo lake
Justin

Mapando yaliyopambwa na Dada Tuma huku akiaambia Vijimambo ni urithi alioachiwa na mpendwa wetu, dada yetu, mama yetu na Matanzania mwenzetu Caroline Mbilinyi aliyefariki March 7, 2014 Dar es Salaam, Tanzania.

Zawadi mbalimbali za baby Shower ya Diana iliyofanyika College, Park, Maryland, siku ya Jumamosi March 15, 2014.

Dada Tuma akisherehesha Baby shower hiyo.

Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja kwenye baby shower ya Diana iliyofanyika Jumamosi March 15, 2014 College Park, Maryland.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
Mgeni mwalikwa katika pozi ya picha kwenye baby shower ya Diana iliyofanyika Jumamosi March 15, 2014.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
1 comment:
Hongereni sana Diana and Justin, mmependeza sana..Mungu awabariki awape mtoto mwenye afya.
Love,Aunt Mare- Columbus,OH.
Post a Comment