ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 16, 2014

TAZAMA PICHA NYUMBA ZA JESHI LA POLISI ZA ZIKITEKETEA KWA MOTO TANGA



Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.

kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la ajali.
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.

Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)

1 comment:

Anonymous said...

Poleni wahanga wakati huohuo nadhani wakati ulikuwa umefika wakuwajengea askari nyumba bora.hizi za mkoloni zimechoka sana.