Hii
ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na
gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la
wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa
kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa
humo tangu saa 11 asubuhi. Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.
Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gar
No comments:
Post a Comment