Advertisements

Monday, April 14, 2014

EXCLUSIVE: Hii sasa ni kufuru jamani Rais Goodluck Jonathan agawa iPhones za dhahabu kwa wageni walioudhuria ndoa ya binti yake.




Sijui unaweza ukaitafsiri vipi hii lakini katika tafsiri ya kawaida utabaini kuwa viongozi wa afrika hawataki kutoka kwenye uongozi ukweli ni kwamba kuna mkwanja mrefu huko cheki hii

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa zawadi ya shukrani ya simu aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa aliyeudhulia sherehe ya ndoa ya mwanae wa kike wa kwanza,Faith iliyofanyika Abuja Ecumenical Centre leo.
 

Ukiachana na mzee Goodluck kutapika simu hizo zenye gharama kwa
wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA. 
 Kama ambavyo zilikuwa zimeandikwa kwenye bos simu hizi wengine ilikuwa ni ndoto kwao kumiliki simu hii lakini bahati imekuwa kwao wamejipatia zawadi hii mhimu simu ambayo kila mtu anatamani kuimiliki
Simu yenyewe ndio hii hapa kiukweli kama una bahati mbaya hubahatiki kabisa

2 comments:

Anonymous said...

Wakati kufuru hii ikifanyika, zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Niger delta hawawezi kuafford hata a daily meal.Kwa mtaji huu amani Nigeria itakuwa ndoto.

Anonymous said...

Afrika needs a new breed of leaders: selfless, ethical and accountable. Kizazi hicho lini?