Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akifungua semina ya siku moja leo mjini Dodoma ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa wakijadili ukuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. aadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Shamin Khan akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa
No comments:
Post a Comment