Wema
Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell
Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu anawajoin
JB na Joti Ambao nao pia kwa sasa wanatangaza Promo za Makampuni ya
Simu....Hongera Wema ...
Team Wema Mpo ??
No comments:
Post a Comment