ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 29, 2014

Jhikoman & Afrikabisa Band Kupeleka mzuka wa Reggae Tubingen Festival ,Ujerumani

Mwanamuziki mashuhuri wa reggae barani Afrika Jhikoman & Afrikabisa Band toka kule Bagamoyo,mkoani Pwani,Tanzania,anarajiwa kuwa miongoni mwa wasanii wakubwa watakao
litingisha onyesho kubwa la 5 International African Festival-Tubingen litakalo fanyika mjini Tubingen,
Ujerumani ya kusini kuanzia 17 Julai mpaka 20 Julai 2014.
Mwanamuziki huyo nyota Jhikoman kwa sasa anawashamoto katika majukwaa ya kimataifa huko ughaibuni ameanzia Finlan,na atakuwepo Norway na kwingineko.
pata buradani kiduchu

https://www.youtube.com/watch?v=IFdT_ZrXFD0&feature
booking +358465919130

No comments: