Advertisements

Thursday, April 3, 2014

KINANA AWAKOSHA WANANCHI WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYAI KALAMBO,RUKWA


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo, wakati wa ziara yake mkoani Rukwa ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Kinana kuelekea Matai Makao Makuu ya Wilya ya Kalambo kuendelea na ziara wilayani Kalambo
Kinana akibeba tofali alilofyatuwakati wa uzinduzi ajengo la CCM la wilaya hiyo
Kinana akiondoka baada ya kuzindua ujenzi huo
Balozi wa Shinma namba mbili la CCM katika Mji wa Matai wilayani Kalambo, Gerald Sokoni akifunguakutano alipotembelewa na Kinana
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilya ya Kalambo, Iddi Kimanta akihutubia mkutano katika shina hilo la balozi
Kinan akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo
Mjbe wa NEC-CCM Balozi Ally Karumbe akilakiwa na wananchi wa Kata ya Kasanga
Akinana dad waipiga picha wakati Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata yaKasanga ilyopo kaika mwambao wa iwa Tanganyika, wilayani Kalambo
Mmoj wa wakazi wa Kata ya Kasanga akiwa amembeba mwanawe wakati wa mkutano uliokuwa unahutubiwa na Kinana
Wananchi wakishagilia hotuba ya Kinana
Wnachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kubidhiwa kadi na Kinana katika mkutano huo
Kijana akila kiapo cha utii cha CCM huk akipiga picha waati wa mkutano huo wa hadhara
Kinana akiwaongoza wanachama wapa wa CCM kula kiapo cha utii
Kinana akizaadiwa zawadi mbalimbali na wananchi wa kata ya Kasanga
Knana akihutubia mkutano huo wa hadhara
Sehemu ya Ziwa Tanganyika likionekana katika Kata ya Kasanga
PICHA ZOTE NA KAMANDA WAMATUKIO BLOG

No comments: