Maandalizi ya mwisho ya sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Dubai. Mhe. Balozi Mdogo afanya ukaguzi
Mhe.Omar Mjenga, Ubalozi Mdogo wa Tanzania Dubai akikagua maandalishi ya miaka 50 ya sherehe ya Muungano itakayyofanyika Dubai Juu na chini ni twasira mbalimbali za maandalizi hayo
1 comment:
Anonymous
said...
Yaani huo ukumbi ndio ulishafungwa hadi tarehe 25? Du! Biashara kali hiyo! Mhe. Balozi
1 comment:
Yaani huo ukumbi ndio ulishafungwa hadi tarehe 25? Du! Biashara kali hiyo! Mhe. Balozi
Post a Comment