Kamati ya uchaguzi CCM DMV chini ya wanakamati wafuatao: (a)Jabiri jongo(mjumbe) (b)Fadhili londa ( mjumbe) (c) Mwinyikheri Mkwavi (mjumbe) (d)Mzee joel (mjumbe) Inawatangazia mabadiliko ya tarehe ya uchaguzi kwa nafasi ya ukatibu. TAREHE YA UCHAGUZI SASA NI MAY- 4TH , 2014, itajuwa siku ya jumapili. tutatangaza uchaguzi utakapofanyika. MASHART YA KUPIGA KURA . (1) uwe mwana chama wa CCM (2)uwe nakadi ya chama siku ya uchaguzi (3)uwe mwana chama hai MWISHO WAKURUDISHA FOMU NI APRIL 26 kukiwa na laziada tutawajulisha kwa maswali zaidi wasiliana na. 1.Jabiri jongo 2.mwinyikheri mkwavi 3.Fadhiri londa . 4.Mzee joel tangazo limetolewana kamati ya uchaguzi KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Saturday, April 19, 2014
MABADILIKO YA UCHAGUZI NAFASI YA UKATIBU CCM.
Kamati ya uchaguzi CCM DMV chini ya wanakamati wafuatao: (a)Jabiri jongo(mjumbe) (b)Fadhili londa ( mjumbe) (c) Mwinyikheri Mkwavi (mjumbe) (d)Mzee joel (mjumbe) Inawatangazia mabadiliko ya tarehe ya uchaguzi kwa nafasi ya ukatibu. TAREHE YA UCHAGUZI SASA NI MAY- 4TH , 2014, itajuwa siku ya jumapili. tutatangaza uchaguzi utakapofanyika. MASHART YA KUPIGA KURA . (1) uwe mwana chama wa CCM (2)uwe nakadi ya chama siku ya uchaguzi (3)uwe mwana chama hai MWISHO WAKURUDISHA FOMU NI APRIL 26 kukiwa na laziada tutawajulisha kwa maswali zaidi wasiliana na. 1.Jabiri jongo 2.mwinyikheri mkwavi 3.Fadhiri londa . 4.Mzee joel tangazo limetolewana kamati ya uchaguzi KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment