MUME AMWAGIA TINDIKALI MKEWE NA KUMHARIBU USONI JIONEE HAPA
MARIA
Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya
ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika
ugomvi unaodaiwa kugombea mali.
Jeshi la Polisi Wilayani Kahama limethibisha kutokea kwa tukio hilo na bado wanaendelea kumsaka mtuhumiwa huyo
1 comment:
tatizo watu wanapenda kugombea mali ambazo hawakuzichuma!
Post a Comment