Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Umoja wa Mataifa kwenye Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York Balozi Ramadhan Mwinyi akiendelea na nyama choa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya muungano yaliyofanyika DMV chini ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Naibu Waziri wa Fedha (S) Mhe. Mwigullu Nchemba akipokelewa na Balozi Liberata Mulamula mara tu alipowasili kwenye viwanja wa Greencastle Park.
Mhe. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Nasoro Basalama huku Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Afisa Mindi Kasiga.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment