Mariam akipiga danadana kwenye maadhimisho ya miaka 50 kabla ya mechi kati ya Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars waliofungana 2-2 na baadae mpira ukavunjikia kwenye mikwaju ya penati picha za mechi zinakuja Watoto DMV wakionyesha umahiri wao wa kusukuma gozi la ng'ombe
No comments:
Post a Comment