Waheshimiwa wakiwa katika mazungumzo ya kina. Wamekubaliana kuwa Afrika Kusini na Tanzania kuwa mkakati wa pamoja ( joint cooperation program) kwenye sekta za utalii, biashara na uwekezeji. Maafisa biashara wa nchi zote mbili watakutana na kutoa mapendekezo ya utekelezaji wa mkakati huo wa pamoja.Balozi Mdogo wa Afrika Kusini aliipongeza Tanzania kwa kutimiza miaka 50
Waheshimiwa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment