ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 28, 2014

PICHA ZAINGINE SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO

Balozi wa Tanzania nchini Marekani akiwakaribisha wageni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Dr. Mwinyihaji Makame na Naibu Waziri wa Fedha(S) Mhe. Mwigulu Nchemba kwenye sheehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano iliyofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.

Mhe. Liberata Mulamula akiwa mwenye furaha wakati akiwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania na kulakiwa na umati wa Watanzania na watu mbalimbali kutoka mataiafa mengine walkiwemo Wamarekani kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya sherehe ya Muungano.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akipiga paicha na Watanzania waliofika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya sherehe ya Muungano.

Mhe. Liberata Mulamula akiongeoa na kiongozi wa kikundi cha Kwanza .
Mhe. Balozi akikagagua vikundi mbalimbali vya utamaduni vilivyotumbuiza Ubalozini hapo.
kwa mapicha kibao bofya soma zaidi


2 comments:

Anonymous said...

nakulizeni mnachosherehekea nini? kuwakandamiza wenzenu na kuwabana wasipumuwe?

Anonymous said...

Mwinguli makwenda USA DC na amekua na Mishern yakupeleka Waraka Feki wa Mkataba wa uungano.