ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 29, 2014

Sikiliza AUDIO Mahojiano na waTanzania wa Diaspora kuhusu Muungano

Mahojiano na waTanzania Diaspora wakiongelea kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye sherehe za Muungano zilizofanyika Siku ya Jumamosi April 26 katika ubalozi wa Tanzania uliopo Jijini Washington DC.

2 comments:

Anonymous said...

urai pacha oyee muungano ziiiiiiiiiiiii kama kizizi

Anonymous said...

dj luke na vijimambo team tafadhalini waungwana tuwekeeni clip tuwaone walihojiwa kwa sababu wenginewe hatuwajui ingekuwa vizuri tungewaona hawa walihojiwa kama itawezekana tunashkuru