Advertisements

Wednesday, April 16, 2014

Sikiliza kwa makini Sauti ya VIMBWANGA vya Profesa Lipumba kabla UKAWA hawajatoka Bungeni

1 comment:

Anonymous said...

mungu akubariki akubariki sana tena sana dj luke ungekuwa si wewe kutuwekea clip hii tungejuaje mambo ya nyumbani yanayotokea, mungu akubariki sana kabisa kweli umetoka katika mifupa ya wazazi wako.

nilikuwa nikisoma comment za watu wanamlalamikia na kumwambia eti professa lipumba pamoja na tundu lissa wamemtukana mwalimu nyerere na sheikha abeid aman karume na kutumia neno ITARAHAME VIBAYA kumbe nilivyosikia hii clip ni tafauti kabisa.

kweli siasa ni mchezo mbaya na mchafu na kweli kama hujui kitu kwa undani wake utakurupuka tu na kufuata maneno ya vijiweni kwamba huyu professa katumia neno ITARAHAME vibaya kumbe uongo

AHSANTE NA AHSANTE SANA DJ LUKE KWA HII CLIP