
Ny Ebra almaarufu kama Vijimambo New York akiiimbia wimbo wa siku ya kuzaliwa kwenye kwenye hafla fupi ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumamosi April 5, 2014 Brooklyn, New York.

Ny Ebra akilisha keki mmoja ya wageni wake waalikwa.

Farida akimpaka keki Ny Ebra baada ya kulishwa keki hiyo.

Mmoja wa marafiki wa Ny Ebra akipata ukodak moment na birthday boy.

Ny Ebra akipata ukodak moment na wadau wake wa karibu.

Birthday boy akifurahishwa jambo na Farida picha zaidi baadae.
No comments:
Post a Comment