Dj Luke Joe toka jiji la watunga shereia akiwajibika katika party hiyo ya ndani kwa ndani. Ni mambo ya Vijimambo NY na Vijimambo DC live bila chenga katika kiwango cha (HD). Kulia ni Denzel aliyejenga site ya Vijimambo Radio |

Mahesabu ya kukata cake hayo kisu kikubwa utadhania panga ...
Seif Akida pembeni akisimamia ukataji cake na upande wa kushoto ni Seif na Bob ni masuper star wa The Calturel Wars Movie inayotarajiwa kutoka muda wowote ....
Dada wa hiari wa Ny Ebra Adella akipeleka cake mezani
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Asha akimlisha cake kaka yake
2 comments:
Wabema boksi bwana! Kaazi kweli kweli. Rudini kwenu. Mujini shule njooni tuwafundishe maisha.
Du msiue wandugu ni muhimu kujali na kufanya yako. Acha wivu ni adui wa maendeleo
Post a Comment