Wachezaji wakiwa mapumziko baada ya kipindi cha kwanza kwisha timu zikiwa zimetoshana nguvu bao 1 kwa 1. Kipindi cha pili timu ya New York ilibadirisha wachezaji bila mpangilio nakujikuta ikitoa mwanya kwa timu pinzani kupata magoli mawili ya haraka haraka. Hadi mwisho wa mchezo New York Nyati timu 1 na DP.Cuatla 3. Mechi inayofata ni jumapili ijayo na New York wamepanga kufanya kweli katika mchezo ujao. Kocha atarekebisha makosa yaliyosababisha kupoteza katika mchezo wa kwanza.
Vijana wakijifua kabla ya mchezo kuanza.
No comments:
Post a Comment