Advertisements

Friday, April 11, 2014

UCHAGUZI NAFASI YA UKATIBU TAWI LA CCM DMV


Mwisho wa kurudisha form ni APRIL, 12 2014.
Kamati ya uchaguzi CCM DMV : Chini ya wanakamati wafuatao Jabiri Jongo (Mwenyekiti), Fadhil Londa (mjumbe), Mwinyikheri Mkwavi  (mjumbe) na Mzee Joel (mjumbe) inawatangazia mabadiriko ya tarehe ya uchaguzi kwa nafasi ya ukatibu. TAREHE YA UCHAGUZI SASA NI . APRIL, 21, 2014.Itakuwa siku ya Jumapili. Tutatangaza mahali uchaguzi utakapofanyika.

MASHARTI YA KUPIGA KURA:

(a) Uwe mwanachama wa CCM
(b) Uwe na kadi ya chama siku ya uchaguzi
(c) Uwe mwanachama hai
Kukiwa na ya ziada tutawajulisheni.  Kwa maswali, tafadhali wasiliana na wanakamati wafuatao:
Jabir Jongo:240-604-0574
Fadhil Londa:(301) 377-4920
Mwinyikheri Mkwavi1 (240) 603-3274:
Mzee Joel:(240) 432-7621 form watakufuta na kuzichukuwa

Tangazo Limetolewa na Kamati Ya Uchaguzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!!!!
Jbjongo

No comments: