Advertisements

Wednesday, April 16, 2014

VIDEO:DHIHAKA NA KEJELI ZA TUNDU LISSU DHIDI YA MWL.NYERERE


1 comment:

Anonymous said...

DJ Luke, usinibanie kwa kuogopa kunyimwa dili ubazolini. Kwa kweli huu ni upotofu and ulimbukeni kwa kudhani kwamba yeyote anayejadiri mabaya ya mwalimu basi anamdhihaki. Ni wakati wa kuwa open minded kwa kukubali kwamba pamoja na mwalimu kufanya mambo mengi mazuri, kuna mabaya aliyofanya na hii ndiyo history inayomjudge "ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CHAMA MWALIMU NYERERE"