ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 7, 2014

WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA


Baadhi ya wasanii wa Filamu za Kibongo wakiongozwa na Mzee Chilo (kushoto), Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere na Sandra wakiwa katika kaburi la marehemu Kanumba ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili tangu kifo chake. GPL

No comments: