Advertisements

Saturday, May 10, 2014

BABY SHOWER YA BARKE YAFANA, GREENBELT, MARYLAND


Barke Idarous Sebo akiwa amepozi kwenye Baby shower yake iliyofanyika Greenbelt, Maryland siku ya Ijumaa May 9, 2014 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.

Juu na chini ni Barke Idarous Sebo akiwa na mdhamini wa pendo lake, Abdul Sebo kwenye Babay shower yake iliyofanyika Greenbelt, Maryland siku ya Ijumaa May 9, 2014.

Baba mzazi wa Abdul Sebo, Bwn George Sebo katika picha ya pamoja na Barke Idarous Sebo na mumewe Abdul Sebo.

Barke Idarous Sebo na mumewe katika picha ya pamoja na Baba George Sebo na mama Grace Mgaza Sebo
Barke Idarouss Sebo na mdhamini wa pendo lake katika picha ya pamoja na marafiki wao wa karibu Sofia na Abdul.
Barke Idarous na mumewe katika picha ya pamoja na marafiki zao wakubwa familia ya Ameir na Abdul na Sofia.
Bwana na Bibi Matope wakipata ukodak moment na Barke Idarous Sebo na mdhamini wa pendo lake siku ya Ijumaa May 9, 2014 kwenye Baby shower ya Barke Idarous Sebo iliyofanyika Greenbelt, Maryland.
Mariam katika picha ya pamoja na Barke na mumewe,
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.

No comments: