Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu
amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka ,
Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia
na kukubali ishindi wake ..Amasema Amebaniwa Miaka Mingi hiyo tuzo na
Hatimae ameipata....
Swali:
- Je huko Nyuma ni Kweli watu walikuwa wanabaniwa Tuzo ?
- Je Utaratibu Mpya wa Kill Awards kupata washindi ni wa Uwazi zaid

No comments:
Post a Comment