Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imefungua maombi ya
mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na Taasisi za Elimu ya Juu
zinazotambulika, kwa masomo ya shahada mbalimbali kwa mwaka wa masomo
2014/2015.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Cosmas Mwaisobwa, amesema maombi ya mikopo yanafanyika kwa njia ya mtandao (OLAS) na yamefunguliwa kuanzia Aprili 23 mwaka hu na yatafungwa rasmi Juni 30, 2014.
Alisema Bodi inatarajia kutoa mikopo kwa wanafunzi takriban 35,000 wa mwaka wa kwanza, watakaodahiliwa kujiunga na masomo katika vyuo mbalimbali vya elimu ya juu.
- Link ya kutuma maombi ni: http://olas.heslb.go.tz
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake