ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 26, 2014

HII NDIYO TASWIRA YA JIJI LA DAR-ES-SALAAMA

Hivi ni vikwangua anga vya jiji la Dar-Es-Salaama piga ua hata ukisikia mbunge wa jibo la Ngoreme au Kwimba jua tu Dar ndiyo masikani yake na mishemishe yote ni ndani ya jiji hili la misheni town. Huko kituoni kwake ataonekana kipindi cha kampeni tu kwenda kuwashika masikio wapiga kula kwa vipande vya sabuni na khanga za nembo ya chama au sura yake. Bongo inapendeza kama unavyoona wacha wabunge wang'ang'a nie hapa kwani kuna raha zake ndani ya jiji hili.

2 comments:

Anonymous said...

How true is this story - 110%

Anonymous said...

All MPs live in Dar - nielezeni yupi anayeishi kwenye electorate yake.