ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 9, 2014

JOSEPH WARIOBA AMEONGEA NA DAKIKA 45 SEHEMU YA 2

2 comments:

Anonymous said...

hawa ambao hawataki kukubali maoni ya wananchi yaliyokusanywa na tume iliyoundwa na Rais ni tabu kuwaelewa wanataka nini hasa... CCM na wafuasi wao kwa nini hawataki haya maoni ya wananchi? kuna siri gani?

Anonymous said...

siri kubwa ni kuzidi kuwanyonya wazanzibari na mwisho wa siku zanzibar ipote na iwe mkoa kama mikoa yote iliyopo tanganyika hii ndo siri kubwa hasa