ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 6, 2014

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA

Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia kwenye Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma, leo Mei 6, 2014
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma,leo Mei 6, 2014.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Waziri wa Nchi,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dr. Rehema Nchimbi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

3 comments:

Anonymous said...

Wow sasa baba mtu kufariki na mtoto mtu kurithi kiti cha ubunge yani kama enzi za ufalme mambi yq kurithi sasa sijui kikwete jr naye atarithi uraisi maana that is the way bongo.....hivyo walala hoi mta rithi kulala hoi...kweli tunahitaji kufunguka macho

Anonymous said...

ndo tanzania ya leo baba mama watoto na wajukuu wote watakuja kurisi na kuwa maraisi na nyinyi walala hoi msiende shule mkaae mlewe mvute mabangi na kusaka anasa kila pembe mkishindwa na maisha nendeni majuu mkapige maboksi

Anonymous said...

Hata uende shule ...vyeo vitakuwa vyao hivyo piga shule yako tafuta mitikasi ya maana na uwaachie hao mafisadi kwani mlipuko utakuja .just look at other countries. Na usidanganywe na huyo aliyepost hapo ju eti uende majuu ukapige boksi kwani watu kibao wanamafanikio siyo wote wanapiga boksi na. Wanao piga boksi yuko kwenye hali nzuri Kuliko kubaki bongo