Keki ya mnuso wa Graduation ya Patrick Kajale
Patrick Kajale akiwa na wazazi wake meza kuu kwenye sherehe yake ya kukamata nondooz iliyofanyika siku ya Jumamosi May 17, 2014 Bethesda, Matyland.
Meza kuu toka kushoto ni Frank Kajale, baba na mama Kajale, Patrick Kajale na Nyamboma. mwanae Patrick.
Nyambona akipozi kwenye ukodak moment.
Frank Kajale akiombea chakula.
Baba mzazi akiongea machache na kumtambulisha mama Patrick Kajale.
Patrick Kajale akiwashukuru watu kwa kuja na kuwaasa wanaDMV kuwa na umoja na mshikamano wa dhati wenye muelekeo wa maendeleo.
Nyambona akimsaidia baba yake kukata keki.
Nyambona akimlisha baba yake keki.
Baba akimlisha mwana keki.
kwa picha zaidi bofya som zaidi
Peter Walden akigonganisha glasi baada ya kufungua shampeni na kuamiminia meza kuu.
Baba na mwana wakifungua muziki.
Wageni waalikwa wakijimwaga na kumwayawaya na muziki
No comments:
Post a Comment