ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 12, 2014

Picha ya Kwanza Bilionea na Mmiliki wa Man City akisherekea Ubingwa wa timu Yake

Wakisherekea ushindi wa Man City na keki ya aina yake- Sheikh Mohammed, wa familia ya Kifalme ya Dubai, akiwa na Sheikh Mohammed, Saif, Mansour na Abdullah bin Zayed. Picha kutoka kwenye twitter ya @HH Sheikh Mohammed

1 comment:

Anonymous said...

mambo yote wamanga kwenda mbele dunia hii si ya wazungu tena wenye wivu na mjinyongee mungu daima kasimama nao