ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 7, 2014

PICHA ZILIZOTAMBA KWENYE WEEKEND YA SIKU YA UHURU WA MIAKA 50 WASHINGNTON DC KUTOKA KWENYE CAMERA YA T.E.S



6 comments:

Anonymous said...

Jamani tuwe na staha tukiwa tunapiga picha na viongozi au watu wa heshima au watu wa genda zingine haswa ukiwa mke wa mtu!! Hivi lazima umuwekee mkono mtu shingoni au kiunoni???? KUISHI MAREKANI KUSITUFANYE TUKAPOTEZA MILA NA DESTURI. Mtu simama na mikono yako iweke chini. Hata hapa Marekani hamuoni watu wakipiga picha na viongozi wao wakiwawekea mikono mabegani na kugusana na vifua au makwapa yao. HEMBU TUWE WASTAARABU IKIWA MTU MMEZOENA SANA NA MUMEO HAJALI SAWA LAKINI SI KILA MTU MAANA HUYU KIONGOZI ALIKUWA NA MKEWE PALE JE WEYE UTAPENDA KINA DADA WA DMV KUPIGA PICHA NA MUMEO WAKIMWEKEA MIKONO NAMNA HIYO???. DJ USIZIBE NI KUKUMBUSHANA MAADILI. DJ uwe unaangalia picha za kuweka in public

Anonymous said...

NILIDHANI HII CELEBRATION YENU YA WATANGANYIKA YA HUU MUUNGANO IMEKWISHA KUMBE BADO HAYA WEEEEEE CHOKO CHOKO MCHOKOENI PEZA BINADAMU HAMTOTUWEZI WA VISIWANI HALISI.

MTAUNGANIA KWA HILA ZOTE LAKINI KUNA SIKU UTAVUNJIKA TUMECHOKA KUTAWALIWA HATUTAKI MUUNGANO HATUTAKI SERIKALI MBILI WALA MMOJA SISI SI WATUMWA WENU

Anonymous said...

kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho huka firauni mwenye nguvu na kutawala lakini leo hii yupo wapi so its just a matter of time wanaozulumiwa haki zao mungu atawapa haki zao hata kama mkione mnadhihozii hizo haki zao

Anonymous said...

wadaanganyika kumbe bado mnasherehekea muungano wenu na wengi walio hapo si wazanzibari halisi bali wazanzibar.
mmechemsha mmelikoroga mtalinywa wenyewe mwaka huu

asili 33 tu ndo wanataka serikali mbili zanzibar tunataka serikali tatu tunajua janja zenu za serikali mbili ili muifanye mmoja tumeshaamka tunataka serikali 3 tena ya mkataba hatutuaki muungano huu feki

sherehekeeni tu wadanganyika na wazanzibar hii sherehe yenu lazima mshereheke si mnawafanya wenzenu wajinga lakini si wajinga wazanzibar wameshaamkaa mpoooo jirani zetu msiotutakia wema mpooo

Anonymous said...

MWAKA HUU MTAFANYA MFANYAVYO MTARIMBO UMEGANDA MUUNGANO WA SERIKALI TATU YENYE MKATABA NA KWENDA MBELE.

MTARIMBO UMEGANDA MWAKA HUU IMBENI MTAKAVYOIMBA NA KUJIRUSHA LAKINI MKAE MKIJUA MTARIMBO UMEGANDA MWAKA HUUU

Anonymous said...

mkee wa kiongozi mbona hajapiga makelele nyinyi ndo wenye kiherehere waswahili wakubwa mnaona choyo mtu kumuweka mkono mkuu wetu na kuwa na kumbu kumbu ya hiyo picha mtakufa na kijiba chenu cha roho na roho mbaya zenu za wivu.
msituletea za kuleta za kiswahili hapa au wewe ulikuwa unata kupiga na kiongozi halafu ukakosa nafasi hiyo ndo maana umekuwa mbogo na kuandika vi comment vyako vya ushuzi ushuzi