Maafisa ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, bwana Kisoka kulia na bwana Tugutu kushoto wakimjulia hali Ny Ebra nyumbani kwake baada ya kusikia ameumia mguu katika mtanange wa soccer kati ya DC na NY siku ya Memorial Day weekend. DC na NY ni watani wajadi walikutana katika soccer kwa mara ya kwanza baada ya majigambo ya muda mrefu ya pande zote mbili. Lakini DC kutokana na uzoefu wao wa kuwa pamoja kitimu kwa muda mrefu walifanikiwa kuibuka na ushindi mnono bila chenga.
Hapa bwana Kisoka akimwambia Ny Ebra kuwa muhimu kufata maelezo ya Doctor ili mguu upone haraka.
Ny Ebra anaendelea vizuri na hapa akifanya mazoezi ya kutembea.
5 comments:
Pole sana: Tuke na wewe-utapona haraka sana.
hiyo Benz ya jirani yako unapiga nayo picha kwa nini, ?
Mkuu Ebra pole sana kaka. I wish you a speed recovery.
Pole Sana Ebra Vijimambo vya NYC ! Sasa upo benchi, maneno na ujanja kwisha !!! Mpoleeee! Sasa utulie mpaka upone!!!
tuko pamoja kaka nikatika mipango ya mungu...s.akida
Post a Comment