Saturday, May 31, 2014

Sahau ya Ommy Dimpoz, angalia kufuru za Prezzo sasa…

pREZZOCMB
Baada ya story za hapa town kuzagaa kuwa Ommy dimpoz amefanya shopping ya maana huko majuu, ila ishu ilikuwa pale alipofanya matumizi ya viatu aina ya
sneakers yaliyokuwa yanalingana na kipato(mshahara) cha mtu wa kati cha miezi mitatu hivi. hili jipya sasa kwa upande wa msanii wa kenya Prezzo baada ya kufanya kufuru zaidi. Hivi karibuni Prezzo ameonekana akivalia sneakers kutoka kwa designer maarufu wa kimataifa wa viatu ajulikanaye kama Christian Louboutin, viatu hivyo vina thamani ya shilingi milioni mbili = (2,000,000/-), viatu adimu kuvikuta kwenye maduka yetu haya ya kawaida ya kitaa, tukio lilowaacha mashabiki wengi mdomo wazi pale walipogundua haswa thamani halisi ya viatu hivyo.
prezz
Prezzo amezoeleka kuwa ni mtu wa matanuzi ya makubwa sana, kuanzia kubook private plane kuzunguka tu, kutoka mji mmoja hadi mwingine, kununua magari ya kifahari na mengine mengi ambayo kwa msanii wa kawaida imekuwa bado ni ndoto. Ila kwa msanii prezzo inasemekana utajiri wake si tu wa kutegemea muziki peke yake, mbali na muziki anafanya biashara nyingi tu, ikiwemo uuzaji wa madini.
ChristianLouboutinLouisBlackSpikesHighMenSneakersDenim_01

Je,

ANGALIA JINSI MAYWEATHER ANAVYOZIDI KUWAFUNDISHA WATU MAISHA YA ANASA DUNIANI

BONDIA Floyd Mayweather ameendelea kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kutoa video inayomuonyesha akiwa kwenye boti yake kali ya kisasa yenye kibwawa cha kuogelea ndani yake mjini Miami. 
Mkali huyo wa kurusha na kukweopa masumbwi, Mayweather aliiweka video hiyo katika akaunti yake ya Instagram juzi usiku.
Video inamuonyesha Mayweather akiwa ametulia akila kinywaji katika boti yake binafsi. 

Raha tupu: Bondia mtata, Floyd Mayweather akila maisha katika boti yake kali...upande wa nyuma kwenye kibwawa cha kuogelea
Relaxing: Controversial boxer Floyd Mayweather relaxes in a hot tub... on the back of a yacht
Off we go: A view of the city is seen in the distance of the boat
Mayweather, mwenye umri wa miaka 37, bado hajapoteza bambino katika ngumi za kulipwa akiwa bingwa wa madaraha matano ya uzito tofauti duniani. 
Hivi karibuni alidaiwa kuzinguana na rapa T.I katika mgahawa wa Fatburger mjini Las Vegas. 
Bingwa huyo wa dunia mara name anatarajiwa kuopanda tena ulingoni Septemba, ambayo inaondoa uwezekano wa kupigana na Amir Khan ambaye hawezi kupigana mwezi huo kwa sababu ya mfungo wa Ramadhani.
- See more at: http://www.kengete.com/2014/05/angalia-jinsi-mayweather-anavyozidi.html#sthash.fq1Ik8k2.dpuf

1 comment:

Unknown said...

Mtu kutumia pesa yake si Mbaya il a tumshauri tu mdogo wetu prezzo kuwa matanuzi yake yamuelekeze katika kusaka zaidi faranga asije kuzijutia baadae atakapokuwa hana kitu