Saturday, May 31, 2014

Post Ya Kwanza Ya Monalisa Baada Ya Kupata Taarifa Kuwa Baba Wa Mtoto Wake Amefariki Katika Ajali.

Post ya kwanza ya Monalisa baada ya kupata taarifa kuwa mume wake wa zamani na baba wa mtoto wake amefariki.
Aliweka picha hiyo ya mareheu Tyson akiwa na mwanae na kisha kuandika maneno haya hapa chini



1 comment:

Anonymous said...

sasa jamani angaaliyeni hizi picha mpate kuona kwamba kweli hizi picha zinaonekana ni mtu mwenye huzuni? huyu ni msanii mzuri sana tena hana majungu lakini kwa picha hii nadhani wenye wivu/jealous naye kwa mafanikio yake watakuwa na la kusema. jamani basi jaribuni jaribuni kujiweka sawa katika mazingira tafauti kama huzuni si kama uwe umevaa mavazi ya huzuni huzuni etc na kulia lia ndo uonekana una huzuni lakini kwa picha hizi anaonekana anafuraha

wako wapi wanao mmanage wajifunzi kutoka majuu ma staa wanakuwa vipi na ku act vipi

kwa kweli mama picha hii hajakaa sawa wala si ya kihuzuni huzuni kama vile umefurahi