ANGALIA LIVE NEWS
Wednesday, May 7, 2014
SHABIKI MMOJA WA LIVERPOOL AKILIA PEKE YAKE UWANJANI
Peke yake: mcheki shabiki mmoja wa Liverpool aliyebaki peke yake uwanjani baada ya Liverpool kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Crystal Palace jana usiku
Machozi: Jamaa alishindwa kujizuia na kumwaga machozi
Mikono kichwani: Shabiki mmoja wa Liverpool hakuamini kilichotokea
Shabiki yule yule alionekana akiwa amebaki peke yake uwanjani baada ya mashabiki wote kuondoka katika uwanja wa Selhurst Park
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment