Monday, May 5, 2014

UNAMFAHAMU HUYU BINTI?

Mwonekano mpya wa mwanamuziki, Ray C, akiwa katika pozi ukumbini wakati wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana Jumapili. Kwa muda mrefu msanii huyo hakuonekana hadharani kutokana na matatizo ya afya.

1 comment:

  1. HAPANA HUYU BINTI HAWEZI KUWA YULE RAY C WETU ,HUYU NI MTOTO WA KIARABU JAMANI DADA TATIZO NI NINI TU NA RANGI YAKO ILIVYOKUWA NZURI? MBONA USIACHE HAYA MADUDE YA KUJICHUBUA?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake