ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 5, 2014

UTAKACHO KIONA UKIWA NDANI YA NDEGE UPANDE WA DIRISHANI NDIYO HIKI



Ndege ikikatisha katikati  ya New York City kwambali unaweza kuona jengo la UN, kama umeshatua New York au kuondokea na ndege basi unaweza kujikumbusha na taswira hii. 
Mandhari ya New York jioni uvutia na taa zinavyopendezesha vikwangua anga, Taswira hii unaweza kuipata ukiwa upande wa west New York.
West New York ikikuonyesha taswira ya vikwangua anga vya New york City.

No comments: