ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 5, 2014

VIDEO: SHIMO HATARI

Shimo hatari lililopo katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo! Ungana na Global TV Online kushuhudia tukio hilo!

1 comment:

Anonymous said...

Huu ni uzembe wa hali yajuu sana, haiwezekaniki vyombo husika nao sio kwamba hawapiti maeneo hayo, na pia ninyi waandishi wa habari, mnatakiwa kuwapa ripoti wahusika kabla hamjaliweka hewani kwamba pana madhara na pili kuwekewa kizuizi toka walau mita 20 kuashiria kuna dimbwi hilo!! na sio shimo!!! rekebisheni lugha!!. imetangazwa hivyo lakini utashangaa kuchukua miezi hadi msamaria mwema aje kujaza dongo au mawe hapo!! Hii ni AIBU SANA.