VIDEO:MH:MWIGULU NCHEMBA"SERIKALI MBILI HAZIEPUKIKI,KUNA WAZEE WANATAKA KUISHI MAISHA YETU,MIAKA 70 WANAWACHUMBA"
Ameyasema haya Wakati wa Hafla Fupi iliyofanyika CCM-Makao Makuu Dodoma kuwakaribisha Wabunge Wapya Kutoka Jimbo la Kalenga Mh:Godfrey Mgimwa na Jimbo la Chalinze Mh:Ridhiwani Kikwete leo Tar.06/05/2014,a
4 comments:
Anonymous
said...
Tangu Mwigulu aje huko tuisikia kuwa Luke umekuja kununuliwa na CCM na hapa imejidhihirisha kwani kila siku lazima uweke post inayomuhusu n yale mengine muhimu ikiwemo hotuba ya Warioba umeanza kuacha kutuwekea... Hongera kwa vipande 30 vya fedha na kutoa utu wako wa kuweka kila habari. Najua utabania hii coment all in all messege sent

Siyo kweli kwamba zaidi ya 70% ya bajeti ya Kenya inakwenda utawala. Uhuru Kenyatta alipokuwa waziri wa Fedha alikata sana matumizi ya serikali. Hivi sasa waziri wa pesa wa Kenya amekata visafari vyote vya nje visivyokuwa vya msingi. Safari zilizobaki ni zile za lazima na zisizo na mlolongo wa wajumbe.

Asante, lawama za vyama zinasaidia nini hujajua kwamba mambo ya siasa ni mchezo mchafu!!

Post a Comment