ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 22, 2014

9TH ANNUAL EAST AFICAN COMMUNITY ORGANIZATION PARTY ALBANY, NEW YORK



Broadcast live streaming video on Ustream
Wageni waalikwa wakipata picha kwenye sherehe ya miaka 9, ya umoja wa jumuiya za nchi za Afrika Mashari Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda iliyofanyika usiku wa Jumamosi June 21, 2014 mjini Albany, New York mji ambao ni makao makuu ya jiji la New York. Wageni mbalimbali kutoka kila pembe ya Marekani na Canada walihudhuria. Sherehe hizi ziliadhimishwa kwa burudani kuoka vikundi mbalimbali na lengo kuu la umoja huu ni kuaidia kusomesha watoto waisojiweza na kupeleka maendeleo kwenye nchi zao.
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.
Wageni mbalimbali kutoka kila kona ya Marekani wakiwa katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

3 comments:

Anicetus said...

NICE-Feeling good.

Anonymous said...

watu wa upstate NY naona mnajichanganya na wazawa...safi sana

Anonymous said...

Hongera sana wana Afrika Mashariki,endelezeni umoja wenu na fungueni matawi kwenye States zote.