Yani huyu dada wa Mbezi beach-Aika made me cry! Yani ameongea ukweli she spoke my mind. Yani wabongo hasa hapa USA.
I used to do that then stupid short minded people wakaanza kunipakazia na kuniundia majungu ooh! anajikomba kwa watu ooh! anapenda watu wejemajina, wakati ukiwasaidia wao wanasema ooh anaiona anazo. Yani what makes it worse wale ambao uliwatendea wema nao wanaungana kukufitini jamani, mie mpaka skuizi sina time na wabongo wahapa ninao ishinao hapa.
Halafu mtu anakuchukia just kwa story ya kusikia. Tena hata hawa wanaume wakibongo ndo balaa. Wakikutongoza ukikataa anaamua kukuchafua jina lako kwa makusudi kabisa.
But thanks to God yani the more they hated me the more God has been blessing me, and only I can say Haleluya!
3 comments:

Party kama hizi zakueleweka ndo tunataka, next TANO lady mtaniona, must attend it. Very impressive. Good job TANO ladies
Jamani me wanna meet mama Mshana / Mshale and give her a big hug! kaongea ukweli mtupu!
Post a Comment