Bibi
wa mtoto Nasrah Rashid, Bi. Asha Abdallah akilia kwa uchungu baada ya
kupata taarifa za msiba wa mjukuu wake huko nyumbani kwake maeneo ya
Mafisa mkoani Morogoro. Kushoto ni mwanae Khadija Hamisi.
Bi.
Asha akiwa na simanzi kwa kuondokewa na mjukuu wake Nasrah aliyefariki
dunia usiku wa kuamkia leo wakati akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar
No comments:
Post a Comment