JAMES MBATI BAADA YA KUTEULIWA KUWA MBUNGE |
MWENYEKITI wa Jumuia
ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdalla
Bullembo amemnanga Mbunge wa kuteuliwa na Rais, James Mbatia akidai kwamba hana
shukrani.
Bulembo amesema kabla
ya kuteuliwa, Mbatia alikuwa na maisha magumu lakini baada ya kuteuliwa mambo
yake yalianza kubadilika na kurudisha hadhi yake katika jamii.
Hivi sasa ana gari zuri,
anava vizuri na kupendeza , anakula vizuri huku akijivunia uheshimiwa
unaotokana na hekima za Rais Jakaya Kikwete aliyemteua kupitia nafasi zake kumi
za uteuzi wa wabunge.
Pamoja na hayo yote, Bulembo amesema Mbatia amekosa shukrani kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaj
No comments:
Post a Comment