Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor ameomba kumalizia kifungo chake nchini Rwanda. Bwana Taylor amesema gereza la nchini Uingereza linamyima haki yake ya
Mke na watoto wa Bwana Taylor wameshindwa kwenda kumuona katika gereza la Durnham, amesema wakili wake John Jones QC. Familia yake hiyo imekuwa ikinyimwa kibali- au visa- ya kuingia Uingereza.
Alikutwa na hatia ya kusaidia waasi waliotekeleza unyama nchini Sierra Leone.
Anatumikia kifungo chake cha miaka 50 kwa gharama za serikali ya Uingereza.
1 comment:
HUKO HUKO. HUKO RWANDA NI WAFRICA . SISI WAFRICA TUMESHINDWA KILA NYANDA HATA ZA KUYAKABILI MATIZO YETU ZAIDI YA KUONEANA, AKIENDA AFRICA VIONGOZI WA AFRICA HAWAFAI HATA KIDOGO NA WALA HAWAJUI KHAKI NA WALA HAWAESHIMU SHERIA WALA UBINADAM HAWANA WATATAKA WAMTOE HUYU, KWANI WATIU HATARI KAMA HAWAFAI KATIKA JAMII
Post a Comment