nendeni kawadaini mapromota wake walimleta wao ndo wanaopanga hizo bei kulipa fidia ya kumleta na kumuwekea makazi. watu wa marekani njaa tupu huku mnayo what is $40 dollars are you kidding jamaa huyu ni star bongo akije u.k anafanya show na wala watu hawalii kwa kulipa show akiruka ulaya na Africa ya kati ana fanya show na watu wala hawalii kwa kiingilio tena ni zaidi ya dollar 40 ARE YOU KIDDING,nnatoa comment zako zakilofa lofa na za umasikini na uko marekani what a shame rudi nyumbani uje kumjua huyu ni nani .
marekani wote tunakujuweni mnamajisifu sana na kujifanya watu wa maana kumbe njaa kali inakuubuweni na mnateseka sana na maisha huko.
toa ujinga wako ukitaka pesa zako nenda kwa mapromote wenu wenye njaaa na ujanja ujanja wao.
jamaa ni kifaa na nyimbo zake ni pomba poa.
watu wa new York wote mnanjaa na mnateseka na maisha huko poleni sana RUDINI NYUMBANI,NYUMBANI NI NYUMBANI
Kuhusu show new Jersey siyo yeye in ma promoter wenu uchwara, walimlipa pesa ya dakika kumi na tano tu .ndiyo maana mkapewa kiduchu , mbona hawakumleta DC ! Wanajua hatutaki upuuzi , ndiyo mkauziwa mbuzi kwenye mfuko huko New Jersey
hujaweka comment imekuuma na wewe luke nahisi mtu wa d.c njoeni Europe mle maisha na mtoke na ziki zenu huko mlipo zakudai $40 what a shame na hii pia usiiweke
mh,dezo?tunapenda vitu vya dezo?huku kiwanja ndo maana watz tupo tofauti na wtz waishio nchi nynginezo,tena kama ndo uk hata msiongee,maisha yenu mmefulia hamtoki mpaka muuze sembe,na bado,nyie ndo wa kurudi tz.
9 comments:
huyo ni nani wa kutulipisha 40 $?is he kidding?
jamaa karudi tena marekani au alikuwa kaficha si tulisikia ameshaondoka au ndo pesa za wakuu wa nchi kazipata kurudi tena
aturudishie kwanza hela yetu aliyotuibia kwenye show ya New jersey
nendeni kawadaini mapromota wake walimleta wao ndo wanaopanga hizo bei kulipa fidia ya kumleta na kumuwekea makazi. watu wa marekani njaa tupu huku mnayo what is $40 dollars are you kidding jamaa huyu ni star bongo akije u.k anafanya show na wala watu hawalii kwa kulipa show akiruka ulaya na Africa ya kati ana fanya show na watu wala hawalii kwa kiingilio tena ni zaidi ya dollar 40 ARE YOU KIDDING,nnatoa comment zako zakilofa lofa na za umasikini na uko marekani what a shame rudi nyumbani uje kumjua huyu ni nani .
marekani wote tunakujuweni mnamajisifu sana na kujifanya watu wa maana kumbe njaa kali inakuubuweni na mnateseka sana na maisha huko.
toa ujinga wako ukitaka pesa zako nenda kwa mapromote wenu wenye njaaa na ujanja ujanja wao.
jamaa ni kifaa na nyimbo zake ni pomba poa.
watu wa new York wote mnanjaa na mnateseka na maisha huko poleni sana RUDINI NYUMBANI,NYUMBANI NI NYUMBANI
huyu mtu mmoja wa new jersey ametia aibu kwa watanzania wote wa new jersey kwa kudai hela yake mmm mweee
Kuhusu show new Jersey siyo yeye in ma promoter wenu uchwara, walimlipa pesa ya dakika kumi na tano tu .ndiyo maana mkapewa kiduchu , mbona hawakumleta DC ! Wanajua hatutaki upuuzi , ndiyo mkauziwa mbuzi kwenye mfuko huko New Jersey
hujaweka comment imekuuma na wewe luke nahisi mtu wa d.c njoeni Europe mle maisha na mtoke na ziki zenu huko mlipo zakudai $40 what a shame na hii pia usiiweke
next time diamond usikubali kwenda marekani watu wahuko wana njaa sana na wanapenda vitu vya dezo dezo

Post a Comment