ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 10, 2014

HUYU NDIYO DIAMOND MUSIC NDIYO KAZI YAKE NDIYO MAISHA YAKE



DIAMOND THE PLATNUMZ AAMUA KUFANYA KOLABO NA MAFIKIZOLO CHECK HAPA NDANI YA SOUTH AFRICA LICHA YA KUKOSA AWARD YA MTVMAMA.
Haya another step kwa msanii diamond the platnumz, last nyt mtandao wa SWAHILII umepokea habari kupitia wadau na mashabiki wake , yakuwa msanii diamond the platnumz tayari ameshafanikiwa kufanya collabo na wasanii wanaounda kundi la mafikizolo, soon audio track itakuwa released okay gud for diamond the platnumz keep it up bro hiyo ni step nyingine kubwa kwako.

No comments: