Ni tukio linatokea
sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa
baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.
Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.
Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.
Dunia imekwisha, kaka na dada?
Sijui binadamu tunaelekea wapi?

1 comment:
tunawelekea kwenye ulimwengu wa sayansi na technologia na utandawazi na dunia kuwa kama kijiji kimoja na kumuacha mungu na maarisho yake na makatazo yake na kumfuata shetani na pombe na ubalaa kama huu.
na kuchangua sana wachumba na kusahau mila za mababu zetu za zamani unapokuwa mwari/au uki baleghe,ukishapevuka uolewe au uoe
ukisubiri sana matokeo yake ndo haya ya kaka na dada.
Post a Comment