ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 11, 2014

Kama Sio kwa Vitisho Alivyovitoa Zitto kwa CHADEMA Nahisi yangemkuta kama ya Chacha Wangwe

Ladies and Gentlemen.

Friends and Enemies.

Nadhani mnayakumbuka maneno haya...

''MIMI NIMEAGA KWETU NA YEYOTE ANAEFIKIRIA KUNIGUSA KWA NAMNA YOYOTE SIDHANI HATA PANYA HUKO KWAO KAMA ATASALIMIKA''...

Hayo yalikuwa ni maneno ya zitto kabwe kuwaambia wanachadema wenye hila za kila aina na husda kwake za kisiasa na kimaisha kwa ujumla.
Hivi majuzi chuki hizo na uzandiki za chadema zimejidhihirisha zaid baada ya viongozi wa juu wa chama hiko kukacha kuhudhuria mazish ya mama mzaz wa zitto kabwe na kukimbilia kwenye harusi ya mbunge wao huko Arusha.

Hicho ni kipimo kidogo sana cha utu na uwajibikaji hata kama kifo hutokea bila taarifa lakini kwa ulimwengu wa sasa na ufanis wa usafiri wangeweza kuchukua hata chopa kwenda kuonesha ubinadamu wao.

Kwani ukiachilia mbali kuwa mama yule kuwa mzazi wa hasimu wao zitto kabwe pia alikuwa ni mjumbe wa kamati yao kuu ya chama.

Thats why nawaambia kuwa chuki ambayo wahafidhina wa chadema especially top level of management wanayo dhidi ya zitto kabwe siyo ya kifani.

Nashawishika kuamin kama zitto kabwe asingetoa vitisho vike dhidi yao leo hii yangeshamkuta yaliyokamkuta marehemu chacha wangwe.

Hawa jamaa sio watu.

Hakuna asiejua kwamba CCM HAS FAILED US AS A NATION.!!

We cant denie that...CCM HAS FAILED US POLITICALLY EVEN ECONOMICALLY.

UCHUMI WETU UNAPUMILIA MASHINE.

HALI YA UMASKINI HUKU VIJIJIN INATISHA.

THE GAPE BETWEEN THE HAVES AND HAVES NOT LINAZID KUONGEZEKA KILA SIKU.

Tuna kila sababu ya kubadilisha uongozi huu wa CCM.

Especially kama sisi wanakusini ndio kabisa.

In 50 years of indepedence barabara toka Mtwara to dsm haijaisha up to this very moment lakin gesi with less than a year wanauwezo wa kuifikisha bagamoyo kwa bomba.

Its very fascinating.

Sasa basi nani wa kumpa trust ya kuwapa taifa hili??chadema or cuf?

Hell no.

I think punishment ya kuwapa CCM ni kama vile walivyofanya kenya.

Kuwanyima ubunge kwa kura nyingi sana na kuwapa urais tu ili kuondoa kabisa mfumo wa kijinga kule bungeni wa 'Ndioo' na wengi wameshinda.

Sisemi kwamba chadema au cuf wasipewe kura la hasha.wapewe kura nyingi za ubunge ikibid lakini sio kuwakabidhi funguo za taifa hili.

Watatupoteza moja kwa moja wanasiasa sio watu wa kuwaamini.

Binafsi naona chadema wana kazi nzito sana kuwaaminisha watanzania walio wengi kwamba kwenye mobb yao hakuna kasumba za ukanda udini na ukabila.

Mwenye macho haambiwi tazama.na mwenye maskio haambiwi sikia.

Taifa letu tutalijenga au kulibomoa wenyewe.

Wasiaminiwe kiivyo hawa wanasiasa.

Lao wote hawa ni moja tu.

Sema kuna wenye nafuu kias flan lakin kwa chadema mimi nimenawa mikono.

Kukacha msiba kisha kukimbilia harusini!!!?

Daaaah...
Written By THE BIG SHOW Via JF
Toa Maoni Yako

1 comment:

Anonymous said...

This is too low for Vijimambo... it has been a trend now kuona mnakua na biased politics and mnapoteza your integrity kwa kuanza kuonyesha posts za kisiasa hasa za ushabiki

all we need from you ni update zenye faida kwa taifa letu sio political scenarios